”Makundi maalum, tumieni fursa zinazotolewa na benki za ndani ”Waziri Dkt.Gwajima.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb), amewataka Wananchi hasa wa Makundi maalum kutumia fursa zinazotolewa na benki za ndani ya nchi ili kujikwamua kiuchumi.Akizungumza wakati alipotembelea benki ya NMB Makao Makuu Jijini Dar es salaam,  24 Januari 2023,  Waziri Gwajima amebaini fursa mbalimbali zinazotolewa na benki